MILIONI 921,000,000 KUTATUA TATIZO LA BARABARA YA MKUTA HADI MPANGATAZARA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MILIONI 921,000,000 KUTATUA TATIZO LA BARABARA YA MKUTA HADI MPANGATAZARA

Mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini Mahmoud Mgimwa akimuonyesha kaimu meneja wa wilaya ya Mufindi Mhandisi Selemani Mjohi kwa namna gani daraja hilo lipo hatarini kubomokaMbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini Mahmoud Mgimwa akikagua moja ya madaraja ambavyo yamelalamikiwa kwa ubovu .Mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini Mahmoud Mgimwa akipata maelezo kutoka kwa kaimu meneja wa wilaya ya Mufindi Mhandisi Selemani Mjohi kwa namna gani watatengeneza barabara hiyo ili ichochee maendeleo kwa wananchi

NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
JUMLA ya milioni mia tisa ishirini na moja zinatumika katika kutatua Tatizo la barabara kuanzia Mkuta hadi Mpangatazara kwa kiwango cha changalawe katika jimbo la Mufindi Kaskazini kwa lengo la kurahisisha shughuli za kimaendeleo ambazo zimekuwa zikihusisha barabara hiyo.
Akizungumza kwenye mikutano ya hadhara ya mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini Mahmoud Mgimwa,kaimu meneja wa wilaya ya Mufindi Mhandisi Selemani Mjohi alisema kuwa pesa tayari imepatika na tayari wameshawa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More