Milioni kumi za Tigo Jigiftishe zaenda kwa muosha magari Tabata Dar - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Milioni kumi za Tigo Jigiftishe zaenda kwa muosha magari Tabata DarMshindi wa zawadi ya wiki ya shilingi milioni 10 katika promosheni ya Jigiftishe inayoendeshwa na kampuni ya Tigo, Iyaka Seifu Muinga (kulia) akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Meneja Bidhaa wa Tigo, Suleiman Bushangama (kulia) pamoja na Jafary Othman - Mtaalam wa Huduma za Tigo (wa pili kulia) katika hafla fupi ya kumkabidhi washindi zawadi eneo la Tabata jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Balozi wa promosheni hiyo, mtangazaji Mina Ally.Mshindi wa zawadi ya wiki ya shilingi milioni 10 katika promosheni ya Jigiftishe na Tigo, Iyaka Seifu Muinga (wa nne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wengine wa kila siku wa


Mmoja wa washindi wa zawadi ya kila siku ya shilingi milioni moja katika promosheni ya Jigiftishe inayoendeshwa na kampuni ya Tigo, Idrisa Selemani (kulia) akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Meneja Bidhaa wa Tigo, Suleiman Bushangama (kushoto) pamoja na Jafary Othman - Mtaalam wa Huduma za Tigo (wa pili kushoto) katika hafla fupi ya kuwakabidhi washindi zawadi ene... Continue reading ->Source: Mwanaharakati MzalendoRead More