MILIONI MIA MBILI ZATUMIKA KULETA MAENDELEO KATA YA KIHESA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MILIONI MIA MBILI ZATUMIKA KULETA MAENDELEO KATA YA KIHESA

Diwani wa kata ya Kihesa manispaa ya Iringa Jully Sawani akiongea na mwandishi wa habari wa blog hii ofisini kwake Kihesa
NA FREDY MGUNDA, IRINGA.
Zaidi milioni mia mbili zimetumika kuleta maendeleo katika sekta ya elimu,miundombinu,afya na utamaduni katika kata ya Mapanda iliyopo katika jimbo la Mufindi kaskazini ikiwa ni kutekeleza ilani ya chama cha mapinduzi ya mwaka 2015 hadi 2020.
Akizungumza na blog hii diwani wa kata hiyo Jully Sawani alisemakuwa katika sekta ya elimu wamefanikiwa kujenga majengo mapya katika shule mbalimbali zilizopo katika kata hiyo kwaushirkiano wa serikali,wananchi na wadau mablimbali wa maendeleo waliopo katika kata hiyo.
“Nguvu ya wananchi ilikuwa ni mchanga na mawe tu,mfano shule ya sekondari ya kihesa ilikuwa inakabiliwa na ukosefu wa majengo,viti,meza za walimu na miundombinu ya shule haikuwa rafiki kabisa katika namna ya kutoa elimu bora kwa wanafunzi wa shule na hivyo hivyo katika shule za msingi ngome na Kihesa ambazo nazo zilikuwa zinakabiliwa na tat... Continue reading ->Source: KajunasonRead More