Millard Ayo Ananizidi Hata Mimi Mshahara :- Kusaga - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Millard Ayo Ananizidi Hata Mimi Mshahara :- Kusaga

Mkurugenzi na bosi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga amefunguka na kusema kuwa katika watu anaojivunia nao ni milaard ayo ambae alianza kufanya kazi Clouds Medai Group na mpaka sasa amekuwa akifanya kazi kubwa zaidi.


Kusaga anasema kuwa Milard alianza kufanya kazi na kulipwa mshahara na wao lakini kwa sasa mshahara wa Milaard kwa sasa  ni mkbwa kuliko hata wa kwake lakini kwake hiyo ni sifa kwa sababu mwisho wa siku wanataka kuwafanya vijana kuwa imara na kile wanachokifanya.


Akiongea hayo katika maswali aliyokuwa akiulizwa siku ya jana ambapo clouds media ilikuwa itimiza miaka 19 tangu kuanziswa kwake, Joseph kusaga anasema hawezi kumuonea wivu wala kukataa mafanikio ya milaard ayo kwa sababu amekuwa moja ya vijana waliojituma sana kufika walipo.


Hata siku za nyuma Milard alipowahi kuulizwa kuhsu kufungua radio yake kwa sababu kwa sasa anaweza kusimama mwenyewe alisema kuwa bado ana deni kuwa sana ndani ya clouds media hawezi kuacha kazi hapo.


The post Millard Ayo Ananizidi Hata Mi... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More