MILNER, FIRMINO, SHAQIRI WAFUNGA LIVERPOOL YAICHAPA BURNLEY 3-1 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MILNER, FIRMINO, SHAQIRI WAFUNGA LIVERPOOL YAICHAPA BURNLEY 3-1

Xherdan Shaqiri akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 90 na ushei ikiwalaza wenyeji, Burnley 3-1 usiku wa jana Uwanja wa Turf Moor katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na James Milner dakika ya 62 na Roberto Firmino dakika ya 69 wakati la Burnley lilifungwa na Jack Cork dakika ya 54 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More