Mimi Kama bi Kidude , Tusipangiane Mavazi. _ Queen Darlen. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mimi Kama bi Kidude , Tusipangiane Mavazi. _ Queen Darlen.

Msanii wa muziki nchini Tanzania, Queen Darleen amefunguka kuwa yeye kwenye muziki wake hajawahi kushuka kwenye muziki kama watu wengi wanavyodai kuwa wasanii wakike wanashindwa ku-maintain kwenye game.


Darleen amesema kuwa yeye hajawahi kushuka toka enzi hizo na kujifananisha na marehemu Bi. Kidude kuwa mzee wake utaendelea kuwa mzuri hata umri wake ukiendelea kumtupa mkono.


“Mimi sijui wao lakini mimi toka  hizo zama za kina Lady Jaydee, akina Ray C mpaka leo hii mimi bado nipo, nakwenda nao level za akina Nandy, yaani mimi nipo humo humo na sitoki yaani na wasitegee kutoka leo, kesho yaani mimi kama bi Kidude nakufa na muziki wangu,“amesema Queen Darleen kwenye mahojiano yake na Wasafi TV.


Kwa upande mwingine, Queen Darleen amezungumzia mavazi yake ambayo mashabiki wake wamekuwa wakimshambulia kuwa anavaa nusu utupu jambo ambalo ni kinyume na maadili ya Mtanzania.


“Kama mimi navaa najiona mwenyewe napendeza, niko fresh, lakini mtu anakuja anakwambia unavyovaa umevaa vibaya hu... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More