Mimi Kwetu Ndio Tajiri ;-Gigy Money - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mimi Kwetu Ndio Tajiri ;-Gigy Money

Mwanadada gigy moeny amefunguka na kusema kuwa ana ndoto za kufanya mambo makubwa katika maisha yake ikiwa pamona na kufungua sehemu ya chakula na salon.


Gigy Money ameyasema hayo alipokuwa akiongea na Dizzzim Online na kusema kuwa katika familia yake  Yeye ndio tajiri kuliko mtu yoyote hata akiingia kwao yeye ndio anaheshimika lakini huku nje watu hawajui kuwa yeye ana majukumu mengi kama ya kumlea mtoto wake.


Mungu akipenda kwakwei nina mataraajio mengi sana kama kufungua sal;on, kufungua sehemu kwa ajili ya chakula, kuna pesa tu hapa nimekuwa nikiitafuta, pesa sio ngumu ila nina majukumu mengi tu na hata mimi kwetu nikiingia mimi ndo tajiri unaelewa lakini wao hawajui kuwa mimi nina majukumu gani na nina take responsilibities gani kwa mwanangu


 


The post Mimi Kwetu Ndio Tajiri ;-Gigy Money appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More