Mimi ni Rafiki Mkubwa wa Mzee Kimambi:-Steve Amjibu Mange. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mimi ni Rafiki Mkubwa wa Mzee Kimambi:-Steve Amjibu Mange.

Badada ya kuchafuliwa katika mtandao Steve Nyerere amemjibu katika uwanja wa maoni mwanadada mange kimambi baada ya kumtaja kama moja  ya watu waliowai kuwa na mahusiano na mwanadada Wastara Juma miaka ya nyuma.


mange ambae alianza kumshambulia wastara kwa kumtukana na kisha kuanza kutoa siri na mambo ya ndani ya mwanadada huyo huku akimtukana matusi alisema kuwa Steve nNyerere na Wastara waliwahi kuwa wapenzi hapo awali kipindi Wastara ayari akiwa na ulemavu wa mguu.


Hata hivyo  baada ya kuona maneno hayo hayavumiliki, Steve Nyerere aliamua kujibu Mange Kimambi chini y apost yake hiyo kwa kumwambia kuwa yeye amekuwa rafiki mkbwa sana wa baba yake kwa miaka mingi kwanini anaamua kumdhalisha mitandaoni.


weee DADA Mange kimambi mimi ni rafiki mkubwa sana wa baba yako mzee kimambi toka enzi hizo huna wakubwa DADA,  kwani mimi na wewe tuna ugomvi mtoto wa rafiki yangu.


The post Mimi ni Rafiki Mkubwa wa Mzee Kimambi:-Steve Amjibu Mange. appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More