Mimi Niko tu Hivyo Kiuno Kimebinuka ;-Hamisa - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mimi Niko tu Hivyo Kiuno Kimebinuka ;-Hamisa

Mwanadada Hamisa Mobeto amefunguka na kuzungumzia swala la mitandao ya kijamii kuwa wanamzungumzia kuwa amekuwa na tabia ya kupiga picha na kubinua kiuno.


Katika maoni ya mashabiki wengine wamekuwa wakimwambia kuwa amekuwa hakijibinua sana ili aoekane kuwa ana makalio wakati hana makalia kama walivyo wasanii wengine wa kike.


hata hivyo Hamisa amewajibu kuwa hilo sio kosa lake kwa sababu yeye ndio ameumbwa hivyo na Mwenyezi Mungu.


sio kama ninajibinua lakini nadhani pia kwa sababu ma-model wa bongo wanaokiki huwezi kuacha kuzungumzia hamisa ,  sometimes unakuta hata photographer anakwambia do this or do that,  lakini pia u akuta kuwa mimi ndo nilivyoumbwa na mwenyezi mungu niko tu hivyo, na siku zote wanasema kama haujaumbwa huwezi kuumbua.


The post Mimi Niko tu Hivyo Kiuno Kimebinuka ;-Hamisa appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More