“Mimi Yanga nitaishangilia Simba”-Mwigulu Nchemba - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Mimi Yanga nitaishangilia Simba”-Mwigulu Nchemba

Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba anafahamika kwa ushabiki wake kwa mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu soka Tanzania Bara YOUNG AFRICANS.


Licha ya ushabiki huo ameonekana kuwa tofauti na Mashabiki wengine wa YOUNG wanaowaombea watani wao wa jadi SIMBA wafungwe katika mchezo wao wa marudiano wa ligi ya mabingwa Barani Afrika dhidi ya AL AHLY hapo kesho. Huyu hapa NCHEMBA akieleza sababu za kuwaunga mkono SIMBA katika mchezo huo.


Angalia video hapa chini kupitia #YouTube kwenye channel yangu ya #DaudaTV halafu nipe comment yako leo utashangilia timu gani kati ya SIMBA na AL AHLY. Bofya PLAY▶kuitazama videoSource: Shaffih DaudaRead More