Mipango ya Bayern Munichen, yamshawishi Zidane - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mipango ya Bayern Munichen, yamshawishi Zidane

Duru za michezo nchini Ujerumani zinasema klabu ya Bayern Munichen, tayari imefanya mawasiliano na kocha Zinédine Zidane wiki iliyopita, ikitaka kumpatia ofa ya kuifundisha klabu kama kocha mkuu wa timu hiyo kwa msimu ujao wa Bundesliga. Inaripotiwa kuwa klabu hiyo haina mpango tena wa kuendelea na kocha Niko Kovac, anayekinoa kikosi cha miamba hao wa


Source: Kwanza TVRead More