MIRADI YA MAJI KYERWA ITAKAGULIWA NA WAZIRI WA MAJI-MAJALIWA - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MIRADI YA MAJI KYERWA ITAKAGULIWA NA WAZIRI WA MAJI-MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nkwenda wilayani Kyerwa baada ya kukagua kiwanda cha kukoboa kahawa cha Nkenda.  Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiwasalimia wananchi katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu ,Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Kayanga Changarawe, Karagwe.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Karagwe,  Gozibert Blandes baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Kayanga Changarawe, uliopo Karagwe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa kwenda wilayani Kyerwa kwa ajili ya kukagua maendeleo ya miradi ya maji na endapo atabaini ubadhilifu achukue hatua kwa watakaohusika.
Ametoa kauli hiyo leo (Jumapili, Oktoba 7, 2018) baada ya kukagua kiwanda cha kukoboa kahawa cha Nkwenda wilaya Kyerwa katika siku ya pili ya ziara yake ya kikazi mkoani Kagera. Katika ziara hiyo Waziri Mkuu amea... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More