MISA TAN YAENDESHA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA MAHAKAMA KILIMANJARO. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MISA TAN YAENDESHA MAFUNZO KWA WATUMISHI WA MAHAKAMA KILIMANJARO.

  Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, Patricia Fikirini,akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kwa watumishi wa Mahakama,mafunzo yanayoendeshwa na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika-Misa tan katika Hotel Ya Leopard mjini Moshi. Baadhi ya Watumishi wa Mahakama mbalimbali katika mkoa wa Kilimanjaro wanaoshiriki mafunzo hayo  .  Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (Misa Tan),Salome Kitomary akizungumza wakati wa mafunzo kwa watumishi wa mahakama za mkoa wa Kilimanjaro. Baadhi ya Watumishi wa mahakama wakishiriki mafunzo hayo yanayofanyika katika Hoteli ya Leopard mjini Moshi.   Mkurugenzi wa Misa Tan, Gasirugwa Sengiyumva,akiwaleza washiriki wa mafunzo hayo shughuli mbalimbali ambazoo taasisi ya Misa Tan imekuwa ikifanya . Baadhi ya washiriki katika mafunzo hayo. Washiriki wa mafunzo hayo wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi ,Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya Moshi ,Patricia Fiki... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More