Miss kanda ya ziwa aduwaza mashabiki - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Miss kanda ya ziwa aduwaza mashabiki

AMEKATA mzizi wa fitina. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Sharon Headlam kuibuka kidedea kwenye shindano la Mrembo wa Kanda ya Ziwa ‘Miss Lake Zone 2018’ na kuamua kufanya maamuzi magumu ya kuchagua zawadi ya gari ambalo lilikataliwa na waandaaji wa Miss Tanzania.


Source: MwanaspotiRead More