Miss Mexico Venessa Ponce atwaa taji la Miss World 2018, Miss Uganda atwaa Miss World Africa (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Miss Mexico Venessa Ponce atwaa taji la Miss World 2018, Miss Uganda atwaa Miss World Africa (Video)

Mashindano ya Miss World yamemalizika huko China kwa mrembo kutoka nchini, Mexico Venessa Ponce De Leon kutwaa taji la Miss World 2018.Hapo awali taji hilo lilikuwa linashikiliwa na mrembo kutoka India, Manushi Chhillar’s.


Akiongea muda mchache baada ya taji hilo, alisema anashukuru kuwa mwakilishi wa warembo wote walioshiriki kwa kuwa kila mmoja alistahili ushindi huyo


“I can’t believe it, I really can’t believe it… And I think all the girls deserved it. I am proud to represent all of them. I will do as much as I can in the time I have got. Thank you so much, everyone,” Vanessa said backstage after winning the crown at the Sanya City Arena in Sanya, China.


Hatika hatua nyingine Miss Uganda,  yatamba na kuibuka Miss World Africa baada ya kuingia top 5 ya Miss World.Top 5 continental winners ni

Mexico – Americas

Thailand – Asia/Occenia

Uganda – Africa

Jamaica – Caribbean

Belarus – Europrle


Katika top 30 nchi nyingine za Kiafrika zilizoingia ni Nigeria, Maurit... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More