Miss Tanzania 2018 Queen Elizabeth afunguka kilichombeba ‘sijabebwa’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Miss Tanzania 2018 Queen Elizabeth afunguka kilichombeba ‘sijabebwa’

Miss Tanzania 2018 Queen Elizabeth amefunguka mwanzo mwisho kile kilichopelekea kushinda taji hili la U-Miss kwa walikuwa wanashindana na warembo wengi halafu wazuri.Queen alisema “Nafurahia kushinda taji ili najisikia vizuri sana asante Tanzania” akiongeza “ukiwa kama mrembo lazima ujiandae kama unavyoona warembo ni wazuri sio kwamba ni wazuri kumuonekano tu hata kichwani pia wako vizuri”


Hapa ndio maelezo yake:- 


By Ally Juma.


The post Miss Tanzania 2018 Queen Elizabeth afunguka kilichombeba ‘sijabebwa’ appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More