Mitambo imewaka... - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mitambo imewaka...

ACHANA na matokeo ya jana Jumatano pale Uwanja wa Taifa, ukweli ni kwamba mitambo ya Simba imewaka, hii ni baada ya Wekundu wa Msimbazi hao, kuonyesha soka tamu hasa Mzambia, Cletus Chama, aliyeupiga mwingi na kuwazima Waghana wa Asante Kotoko.


Source: MwanaspotiRead More