MJADALA WA WANA -CCM WASIVAE SARE ZAO SHEREHE ZA UWASHAJI MWENGE KITAIFA WAIBUA MJADALA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MJADALA WA WANA -CCM WASIVAE SARE ZAO SHEREHE ZA UWASHAJI MWENGE KITAIFA WAIBUA MJADALA

MJADALA WA WANA -CCM WASIVAE SARE ZAO  SHEREHE ZA UWASHAJI MWENGE KITAIFA WAIBUA MJADALA KATIKA KIKAO CHA KAMATI YA MWENGE MKOA WA SONGWE,
Na Mashaka Mhando, Mbozi
KIKAO cha Kamati ya Mwenge mkoani hapa, umewapiga marufuku wana-CCM watakaohudhuria sherehe za kitaifa za uwashwaji wa Mwenge Kitaifa zitakazofanyika mjini hapa Aprili 2 mwaka huu, wasivae sare zao za Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hoja hiyo iliwasilishwa na Mwenyekiti wa kikao hicho kilichofanyika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi na ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Brigedia Jenerali Mstaafu Nicodemus Mwengela ambapo amedai sherehe hizo ni za kitaifa na watu wa CCM hawapaswi kuvaa sare hizo.
Kikao hicho kilichofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita, baada ya Mkuu huyo kuwasilisha hoja katika agenda ya sare zitakazovaliwa kwenye uwashaji huo, aliungwa mkono na wajumbe waliohudhuria kikao hicho isipokuwa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mbozi Kazimbaya Makwega.
Baada ya hoja kujadiliwa kwa kina na wajumbe, Mkuu wa mkoa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More