MJIPANGE: Hawana huruma na mtu kabisa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MJIPANGE: Hawana huruma na mtu kabisa

HATUMWI mtoto dukani leo. Ukisikia mambo ni moto, basi ndio leo. Mabingwa wa soka Tanzania tayari wameshatua nchini wakitokea Uturuki walikokuwa wameweka kambi maalumu kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara utakaoanza Agosti 18 kwa timu hiyo kuvaana na Mtibwa Sugar ya Manungu, Morogoro, pamoja na michuano mingine ikiwamo ya kimataifa.


Source: MwanaspotiRead More