Mkali Divock Origi atulizwa huko Anfield - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mkali Divock Origi atulizwa huko Anfield

Shujaa wa Liverpool kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, Divock Origi ametulizwa huko Anfield baada ya kupewa dili la mkataba mrefu wa kuendelea kukitumikia kikosi hicho kinachonolewa na Mjerumani.


Source: MwanaspotiRead More