MKANDARASI WA MRADI WA MAJI PANGANI ATAKIWA KUUMALIZA KWA WAKATI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKANDARASI WA MRADI WA MAJI PANGANI ATAKIWA KUUMALIZA KWA WAKATI


 NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Pangani[CCM akizungumza katika mkutano wa hadhara eneo sokoni wilayani Pangani kabla ya kushuhudia utiliaji wa saini ya mkataba wa maji kutiliana saini mkataba wa utekelezaji wa mradi huo baina ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Tanga-Uwasa) wilayani hapo.  MKUU wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah akizungumza katika mkutano huo kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto ni Katibu tawala wa wilaya ya Pangani Mwalimu Hassan Nyange
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Tanga-Uwasa) Phares Aram kushoto akisaini  hati za mkataba wa maji na Mkandarasi a Mkurugenzi wa Kampuni ya Macarious Hotel and Co.Ltd Filbert Mmassy kulia ambaye atatekeleza mradi wa maji wilayani Pangani wanaoshuhudia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji kushoto na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella katikati

BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI...
Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More