Mkasa wa MV Nyerere Tanzania: Familia zazungumza kuhusu wapendwa wao Tanzania - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mkasa wa MV Nyerere Tanzania: Familia zazungumza kuhusu wapendwa wao Tanzania

Kivuko kilichopewa jina MV Nyerere kilizama Alhamisi adhuhuri kikitokea bandari ya Bugolora katika kisiwa cha Ukerewe kuelekea katika kisiwa cha Ukara


Source: BBC SwahiliRead More