MKATABA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA KIPYA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA, MOSHI WASAINIWA JIJINI DAR LEO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKATABA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA KIPYA CHA BIDHAA ZA NGOZI CHA KARANGA, MOSHI WASAINIWA JIJINI DAR LEO

Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSSSF, Eliud Sanga (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa TIRDO (waliosimama) wakishuhudia utiwaji saini wa Mkataba wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa Kiwanda kipya cha bidhaa za ngozi cha Karanga, kilichopo mjini Moshi, uliosainiwa kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya viatu ya Karanga, Mhandisi Masoud Omari (katikati) na Mwakilishi wa Kampuni ya Italia ya ITALPROGETTI, Sergio Dani (kulia), leo februari 8, 2019 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa PSSSF jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya viatu ya Karanga, Mhandisi Masoud Omari (katikati) akibadilishana Mikataba ya utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa Kiwanda kipya cha bidhaa za ngozi cha Karanga, mjini Moshi na Mwakilishi wa Kampuni ya Italia ya ITALPROGETTI, Sergio Dani (kulia) leo februari 8, 2019 jijini Dar es Salaam.Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Penshe... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More