MKAZI WA BOKO JIJINI DAR AKABIDHIWA GARI MPYA RENAULT KWID TOKA M-PESA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKAZI WA BOKO JIJINI DAR AKABIDHIWA GARI MPYA RENAULT KWID TOKA M-PESA

Mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanje akishuhudiwa na mkewe Frida Simon (kushoto ) akikabidhiwa funguo za gari na Mkuu wa Kanda ya Pwani Vodacom Tanzania Plc, George Lugata wakati wa hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam. Ili kushinda mteja wa Vodacom anatakiwa kutumia M-Pesa katika kulipia huduma zote pamoja na kufanya miamala mingi zaidi.
Mkuu wa Kanda ya Pwani Vodacom Tanzania Plc, George Lugata (kulia) akimkabidhi Kadi na Funguo za gari mshindi wa sita kati ya washindi 10 wa promosheni ya kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanje ambaye ni mkazi wa Boko jijini Dar es Salaam. Hafla hii imefanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam. Ili kushinda, mteja wa Vodacom anatakiwa kutumia M-Pesa katika kulipia huduma zote pamoja na kufanya miamala mingi zaidi.Mshindi wa sita wa gari aina ya Renault Kwid la promosheni ya kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Ka... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More