Mkazi wa Boko jijini Dar es Salaam akabidhiwa gari mpya RenaultKwid toka M-Pesa - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mkazi wa Boko jijini Dar es Salaam akabidhiwa gari mpya RenaultKwid toka M-Pesa


02 Mshindi wa  sita  wa gari  aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo mkazi wa Boko  jijini Dar es Salaam, akishuhudiwa na mke wake Frida Saimoni (kushoto )akikabidhiwa na Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam, na Pwani, George Lugata  funguo za gari  wakati wa hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam. Yamebakia magari manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu.03 Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George Lugata,(kulia) akimkabidhi  Kadi  na Funguo za gari mshindi wa  sita  wa gari  aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo ambaye ni mkazi  wa Boko  jijini Dar es Salaam,   wakati wa hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam. Yamebakia magari manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu.04 Mshindi wa  sita  wa gari  aina y... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More