MKAZI WA IRINGA AJISHINDIA GARI KUPITIA PROMOSHENI YA TBL KUMENOGA, TUKUTANE BAA' - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKAZI WA IRINGA AJISHINDIA GARI KUPITIA PROMOSHENI YA TBL KUMENOGA, TUKUTANE BAA'

Gari alilojishindia Bw.Frank Nathan hilo.Meneja wa Udhamini na Mawasiliano ya Wateja wa TBL, David Tarimo ( wapili kushoto) akiongea kwa sim una mshindi wakati wa droo ya pili ya promosheni ya TBL Kumenoga iliyofanyika jijini Dar Salaam. Kushoto ni Meneja masuala endelevu wa TBL, Irene Mutiganzi, , Asam Keta na Afisa Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo Abigail MutayoberwaMeneja wa Udhamini na Mawasiliano ya Wateja wa TBL,David Tarimo ( katikati) akiongea kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati wa droo hiyo.Kushoto ni Meneja Masuala Endelevu wa TBL ,Irene Mutiganzi na Afisa Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo Abigail Mutayoberwa.---Mkazi wa Iringa Bw, Frank Nathan (38), amejishindia gari mpya aina ya Renault KWID, kupitia droo ya pili ya promosheni ya wateja ya TBL Kumenoga, Tukutane Baa’iliyofanyika jijini Dar es Salaam chini ya usimamizi wa Bodi ya Taifa ya Michezo ya kubahatisha.
Nathan, akiongea baada ya kupigiwa simu na Meneja wa Udhamini na Mawasiliano ya wat... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More