Mke wa Icardi ataka Tsh bilioni 30, Madrid yamwekea Koulibaly Tsh bilioni 270 - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mke wa Icardi ataka Tsh bilioni 30, Madrid yamwekea Koulibaly Tsh bilioni 270

Inasemekana Chelsea wapo mbioni kuvunja mkataba wa mkopo wa Michy Batshuayi kutoka klabu ya Valencia. Michy ameitumikia Valencia mwezi mmoja tu na klabu ya Chelsea ipo mbioni kumrudisha mapema darajani.


Klabu ya Real Madrid ipo tayari kutoa dau la £90M sawa Tsh Bilioni 270 ili kumnasa Kalidou Koulibaly anayewaniwa na klabu ya Man United.


Klabu ya Arsenal ipo mbioni kunasa huduma za kiungo kutoka Porto Hector Herrera ili kuziba pengo la Aaron Ramsey. Herrera mwenye miaka 28 mkataba wake unaisha mwezi june.


Unai pia anawania kuoata huduma za winga wa zamani wa Atletico Yannick Carrasco. Carrasco kwa yupo China anakichafua kunako klabu ya Dalian Yifang


Klabu ya Juventus ipo tayari kumuongezea Massimalano Allegri mshahara mpaka kufikia £9M. Allegri anawindwa kwa karibu sana klabu ya Real na Man united


Mauro Icardi amepewa ofa ya mkataba wa £7M kwa mwaka lakini wake ambaye ni mke wake Wanda amesema mshahara huo ni mdogo anataka £9M sawa na Tsh Bilioni 27. Icardi mwenye miaka 25 anawindw... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More