Mke wa Ludacris akunwa na wimbo wa Rich Mavoko aliyomshirikisha Patoranking ‘Rudi’ (+ Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mke wa Ludacris akunwa na wimbo wa Rich Mavoko aliyomshirikisha Patoranking ‘Rudi’ (+ Video)

Wimbo wa ‘Rudi’ wa Rich Mavoko ambao alimshirikisha msanii kutoka Nigeria Patoranking imemfikia mke wa msanii nyota wa Marekani ambae pia ni msanii na muigizaji Ludacris.

Mwanamama anayejulikana kwa jina la Eudoxie Mbouguiengue ambaye kupitia insta stories yake ameonekana akiimba wimbo huo uliotoka November 1, 2017. Eudoxie ni raia wa Gabon na alifunga ndoa Ludacris mwaka 2014, wana mtoto mmoja aitwaye Cadence.

By Ally Juma.


The post Mke wa Ludacris akunwa na wimbo wa Rich Mavoko aliyomshirikisha Patoranking ‘Rudi’ (+ Video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More