Mke wa Mzee Yusuf asimulia A-Z alivyopambana na majambazi 4 wenye bunduki na mapanga (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mke wa Mzee Yusuf asimulia A-Z alivyopambana na majambazi 4 wenye bunduki na mapanga (Video)

Mapema wiki hii Mzee Yusuf na mke wake Leyla Rashid walivamiwa na majambazi nyumbani kwao Chanika nje ya kidogo mwa jiji la Dar es salaam. Bi Leyla ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kwenye muziki wa Taarab wamefunguka mwanzo mwisho alivyopambana na majambazi hao.The post Mke wa Mzee Yusuf asimulia A-Z alivyopambana na majambazi 4 wenye bunduki na mapanga (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More