MKOA WA KATAVI WAZINDUA MPANGO WA KUTANGAZA UTALII WAKE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKOA WA KATAVI WAZINDUA MPANGO WA KUTANGAZA UTALII WAKE
Mkuu wa mkoa wa Katavi Amos Makala katikati akiwa na Mkuu wa wilaya ya Mlele Rachel Kasanda, Dk Theresia Olemako kutoka taasisi ya Jane Godall, , akifuatiwa na Mkuu wa hifadhi ya Katavi Stephano Msumi na kaimu katibu tawala mkoa wa Katavi Awaryiwa Nnko pamoja na watendajiwengine wa mkoa huo.

Mkuu wa mkoa wa Katavi Amos Makala akisoma moja ya bango linaloielezea mbuga ya wanyama ya Katavi.

Baadhi ya picha zikionyesha baadhi ya wanyama wanaopatikana katika mbuga ya wanyama wa Katavi mkoani Katavi.
Mkoa Wa Katavi Umezindua Rasimu Ya Mpango Mkakati Wa Miaka Kumi Ya Kukuza Sekta Ya Utalii Mkoani Katavi Kwa Lengo La Kuongeza Watalii Kutoka Wastani Wa Watalii 3340 Waliotembelea Hifadhi Hiyo Mwaka 2018 Hadi Kufikia Watalii 6012 Mwaka 2029

Akizungumza Mara Baada Ya Kuzindua Rasimu Hiyo Bwana Makalla Amesema Mpango Huo Utawezesha Kukuza Uchumi Wa Mkoa Wa Katavi

Aidha Mkuu Huyo Wa Mkoa Wa Katavi Amewataka Wananchi Kuacha Tabia Ya Kuharibu Mazingira Ili Kuwa Na Maeneo Ya Wanyama Pori San... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More