MKOA WA TANGA KUWA MWENYEJI WA MAZOEZI YA MAFUNZO YA USHIRIKIANO IMARA 2018 YA KIJESHI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKOA WA TANGA KUWA MWENYEJI WA MAZOEZI YA MAFUNZO YA USHIRIKIANO IMARA 2018 YA KIJESHI

MKUU wa Mafunzo na Operesheni Jeshini(JWTZ) Meja Jenerali Alfed Fabian Kapinga kushoto akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusu kufanyika mafunzo ya Kijeshi mkoani Tanga yanayo julikiana kama “Ushirikiano Imara 2018” ambayo yatahusisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu mkoa huo kuwa mwenyeji wa mafunzo ya kijeshi kwa nchi za Afrika Mashariki yatakayoitwa“Ushirikiano Imara 2018”yatakayohusisha askari 1500 kutoka nchi tano kushoto ni Mkuu wa Mafunzo na Operesheni(JWTZ) Meja Jenerali Alfed Fabian Kapinga Mkuu wa Mafunzo na Operesheni Jeshini(JWTZ) Meja Jenerali Alfed Fabian Kapinga kushoto akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella mara baada ya mkutano na waandishi wa habari.Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga Edward Bukombe akifuatilia mkutano huoMkoa wa Tanga unatarajiwa kuwa mwenyeji mazoezi ya mafunzo ya Ushirikiano Imara 2018 ya kij... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More