Mkongwe Ferouz arudi na ‘Excellent’ wimbo aliyomshirikisha G Nako (+ Audio) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mkongwe Ferouz arudi na ‘Excellent’ wimbo aliyomshirikisha G Nako (+ Audio)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na akiwa miongoni mwa wachezaji walioiweka Bongo Fleva kwenye ramani Ferouz amerudi kivingine kwa kuachia Audio ya wimbo wake wa Excellent aliyomshirikisha G Nako. Audio hiyo imefanywa na Producer Mocco Genius
By Ally Juma.


The post Mkongwe Ferouz arudi na ‘Excellent’ wimbo aliyomshirikisha G Nako (+ Audio) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More