Mkongwe Pele ampa makavu Messi ” Hana uwezo wa kujilinganisha na mimi” - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mkongwe Pele ampa makavu Messi ” Hana uwezo wa kujilinganisha na mimi”

Mkongwe kutoka nchini Brazil aliyezaliwa miaka 78 iliyopita katika jiji la Minas Gerais nchin humo, na kufanikiwa kuvitumikia vilabu viwili tu ambavyo ni klabu kutoka Brazili ya Santos Futebol Clube (Santos) ambapo aliitumikia kuanzia mwaka 1958 – 1974 na kufanikiwa kuifungia magoli 619 kwa michezo 638,pamoja na klabu moja kutoka nchini Marekani ya New York Cosmos (Cosmos) ambapo aliitumikia kuanzia mwaka 1975-1977 na kufanikiwa kuifungia magoli 31 katika michezo 56, vile vile katika timu yake ya taifa alifanikiwa kuichezea michezo 92 na kuifungia magoli 77.lakini pia Pele ndio mchezaji pekee aliyewahi kutwaa taji la kombe la dunia kwa nyakati tatu tofauti.Mkongwe huyo ameweka wazi na kutoa hisia zake kwa kuwaonywa watu waoamini kuwa mchezaji raia wa Argentina Lionel Messi ndio mchezaji bora wa muda wote dunianiPele alisema:-” Unawezaje kulinganisha kati ya mchezaji anayeongoza kwa kuuchezea mpira vizuri, anapiga kwa mguu wa kushoto, anatumia pia mguu wa kulia kuuchezea mpi... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More