Mkude, Kagere wapewa mazoezi maalumu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mkude, Kagere wapewa mazoezi maalumu

Mkude amechelewa kujiunga na kikosi hicho kwa sababu ya matatizo hayo ambapo ilielezwa kuwa alifiwa na kaka yake.
Baada ya kujiunga na wenzake leo Jumatatu asubuhi alifanya mazoezi yake ya kwanza ambapo aliambiwa akimbie kuzunguka uwanja.


Source: MwanaspotiRead More