Mkude; Simba, Yanga vitani - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mkude; Simba, Yanga vitani

HUKO mtaani mashabiki wa Yanga wameanza kutembea vichwa chini. Kwanza ni straika wao, Heritier Makambo ikielezwa yupo mbioni kutimka Jangwani, lakini pia kasi ya watani wao, Simba katika kuufukuzia ubingwa ikisaliwa na mechi moja tu watetee ndoo.


Source: MwanaspotiRead More