Mkurugenzi Mtendaji TIC aongoza msafara wa wadau wa Serikali na Sekta binafsi kwenda nchini Korea kwa ziara ya kikazi - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mkurugenzi Mtendaji TIC aongoza msafara wa wadau wa Serikali na Sekta binafsi kwenda nchini Korea kwa ziara ya kikazi

Balozi Massuka akimkaribisha nchini Korea Bw.Adonis Bitegeko ambaye ni Mkurugenzi wa Udhibiti na Mwakilishi Wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Chakula Tanzania (TFDA), moja ya taasisi muhimu za serikali zinazoshiriki katika ziara hiyo ya uhamasishaji viwanda nchini Korea. Anayeshuhudia ni Bw.Francis Mossongo, Afisa Uchumi Mwandamizi kutoka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Tanzania.Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Wafanyabiashara wa Dawa na Vifaa Tiba Nchini (Tanzania Association of Phramaceutical Industry, TAPI), Bw.Abbas S.Mohamed, ambaye pia ni Mkurugenzi Wa Kampuni ya Samiro Pharmaceuticals Ltd ya jijini Dar es Salaam, akipokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Incheon Seoul na Mhe. Matilda S.Massuka, Balozi Wa Tanzania nchini Korea. TAPI inashirikiana na Serikali katika kufanikisha malengo ya ziara hiyo Nchini Korea na China, wakiiwakilisha Sekta Binafsi ya Tasnia ya Dawa na Vifaa Tiba ya nchini Tanzania.Balozi wa Tanzania nchini Korea, Mhe.Matilda S. Massuka, ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More