MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA MBUNGE WA JIMBO LA KYERWA NA MKURUGENZI MKUU WA PASS - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA MBUNGE WA JIMBO LA KYERWA NA MKURUGENZI MKUU WA PASS

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akiwa katika mazungumzo na Mbunge wa Jimbo la Kyerwa, Innocent Balikwate aliyemtembelea ofisini kwake leo Februari 12, 2019.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akifurahi jambo na Mbunge wa Jimbo la Kyerwa, Innocent Balikwate aliyemtembelea ofisini kwake leo Februari 12, 2019.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto)  akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya binafsi ya kusaidia sekta ya kilimo nchini (PASS), Nicomed Bohay, aliyemtembelea ofisini kwake leo Februari 12, 2019.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More