Mkurugenzi wa Vodafone atangaza kuachia ngazi - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mkurugenzi wa Vodafone atangaza kuachia ngazi

Baada ya miaka 10 ya kuiongoza Vodafone hatimae mkurugenzi mkuu Vittorio Colao ametangaza rasmi kuwa kuachia ngazi kuiongoza kampuni hiyo. Vittorio Colao amekuwa mtu muhimu sana ndani ya Vodafone kwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni pamoja na kuuza sehemu ya hisa zake kwa kampuni ya Verizon Wireless ya Marekani kwa thamani ya Dola 130 [...]


The post Mkurugenzi wa Vodafone atangaza kuachia ngazi appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More