MKUTANO MKUU WA 13 WA WADAU WA ZAO LA KOROSHO AFRIKA KUFANYIKA DAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKUTANO MKUU WA 13 WA WADAU WA ZAO LA KOROSHO AFRIKA KUFANYIKA DAR

Mkurugenzi Mkuu wa Shirikisho la Korosho Barani Afrika, Ernest Mintah (kulia) akifafanua jambo na wanahabari juu ya mkutano mkuu wa 13 wa wadau wa Korosho Afrika unaotarajia kufanyika jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mkuu wa Shirikisho la Korosho Barani Afrika, Ernest Mintah (kulia) akizungumza na wanahabari juu ya mkutano mkuu wa 13 wa wadau wa Korosho Afrika unaotarajia kufanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Dkt. Steven Ngailo wa Wizara ya Kilimo. Picha na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.Dkt. Steven Ngailo wa Wizara ya Kilimo akizungumza jambo.
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii.
MKUTANO mkuu wa 13 shirikisho la wadau korosho Afrika (ACA) linatarajiwa kufanyika nchini kwa siku 3 kuanzia tarehe 7-9 Novemba 2019 jijini Dar katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) huku mada ya mkutano kwa mwaka huu ikiwa ni; “Kuendeleza Ushirikiano na Kushawishi Mabadiliko katika Soko”.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Shirikisho la... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More