Mkutano Mkuu wa ‘CUF Lipumba’ kesho, wajumbe waanza kuwasili - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mkutano Mkuu wa ‘CUF Lipumba’ kesho, wajumbe waanza kuwasili








Mmoja wa mkutano mkuu waChama cha Wananchi (CUF)akiandikisha jina kwa ajili ta kusubiri  utaratibu wa mkutano mkuu wa chama hicho By Bakari Kiango, Mwananchi bkiango@mwananchi.co.tzDar es Salaam. Chama cha Wananchi (CUF), upande unaomuunga mkono mwenyekiti wa chama hicho, anayetambuliwa na msajili wa vyama vya siasa, Profesa Ibrahim Lipumba umesema maandalizi ya mkutano mkuu wa siku tatu uliopangwa kufanyika kesho Jumanne Machi 12, 2019 yamekamilika.Kauli hiyo imetolewa leo, Jumatatu Machi 11, 2019 na Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano ya Umma wa chama hicho, Abdul Kambaya wakati akizungumza na Mwananchi katika ofisi ya makao makuu ya CUF iliyopo Buguruni.

Amesema kila kitu kinakwenda vizuri na wajumbe wa mkutano huo kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wameanza kuwasili kwa ajili ya kushiriki mkutano huo na kuwataka wasitishike na vitisho vinavyotolewa na baadhi ya wanaosema mkutano hautafanyika."Mkutano utaanza kesho na utafanyika katika mojawapo ya hoteli iliyopo karibu na ofisi ya ma... Continue reading ->









Source: Mwanaharakati MzalendoRead More