MKUTANO WA YANGA KATIKA PICHA LEO BWALO LA POLISI OYSTERBAY - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKUTANO WA YANGA KATIKA PICHA LEO BWALO LA POLISI OYSTERBAY

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akiwahutubia mamia ya wanachama wa klabu ya Yanga waliojitokeza kwenye mkutano mkuu wa mwaka Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Polisi, Oysterbay mjini Dar es Salaam leo  
Mamia ya wanachama wa klabu ya Yanga waliojitokeza kwenye mkutano mkuu wa mwaka Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Polisi, Oysterbay mjini Dar es Salaam leo  
Wanachama wa klabu ya Yanga waliojitokeza kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa klabu yao leo   
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akiondoka baada ya kufungua mkutano 
Kiongozi wa zamani wa Yanga, Mussa Katabaro pamoja na kwamba ni mgonjwa ametoka kufanyiwa upasuaji wa mguu hivi karibuni nchini India kufuatia ajali mbaya ya gari, lakini kwa mapenzi na klabu yake amejitokeza mkutanoni 
Rais wa kwanza wa Yanga kabla ya klabu kurejea kwenye mfumo wa Mwenyekiti kama kiongozi mkuu, Tarimba Abbas alikuwepo pia leo ... Continue reading ->

Source: Bin ZuberyRead More