MKUU WA CHUO DUCE AFUNGUA BONANZA LA MAZOEZI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO HICHO. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKUU WA CHUO DUCE AFUNGUA BONANZA LA MAZOEZI KWA WAFANYAKAZI WA CHUO HICHO.


Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha elimu DUCE Chang'ombe jijini Dar es salaam Profesa Bernadeta Killian akipiga mpira wa penati kuashiria ufunguzi wa bonanza la mazoezi ya wafanyakazi wa chuo hicho jana kwenye viwanja vya chuo hicho jijini Dar es salaam.Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha elimu DUCE Chang'ombe jijini Dar es salaam Profesa Bernadeta Killian akizungumza na wafanyakazi wa chuo hicho wakati akifungua bonanza la mazoezi na michezo kwa wafanyakazi lililofanyika jana chuoni hapo jana jijini Dar es salaam na kushirikisha michezo mbalimbali ikiwemo Mpira wa Miguu, Pete, Bao na Drafti.
Lengo la Bonanza hilo la mazoezi ni kuwafanya wafanyakazi kujiweka sawa kwa afya ya miili yao ili kuwa tayari kutumikia chuo hicho kwa wakiwa na afya na miili iliyo yimamu kabisa kiafya.Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bonanza Dk. Julius Mgunai, Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu DUCE Chang'ombe , Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu Kishirki cha Elimu DUCE Taaluma Dk. Julius Mbuna na Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiri... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More