MKUU wa Dar es Salaam Paul Makonda ametoa mwezi mmoja kwa kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kukamilisha miradi ya ujenzi ya DMDP - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKUU wa Dar es Salaam Paul Makonda ametoa mwezi mmoja kwa kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kukamilisha miradi ya ujenzi ya DMDP

 Mkuu wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya agizo la mwezi mmoja kwa kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kukamilisha  miradi ya ujenzi barabara ya Chang`ombe wilayani Temeke na kwamba ikishindwa kutekeleza agizo la serikali itasitsha mkataba na haitapewa tenda tena katika  Mkoa Dar es Saĺaam. Mkuu wakoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akiwa ameambatana  na mkuu wa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva,Mkurugenzi wa wilaya ya Temeke,Lusubilo Mwakabibi pamoja na Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji wa Maji wa DAWASA, Mhadisi Aaron Joseph wakikangua mira mbalimbali inayojengwa na DMDP leo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji wa Maji wa DAWASA, Mhandisi Aaron Joseph akifafanua kambo mbele ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda katika ziara ya kukangua miradi mbalimbali inayojengwa na DMDP leo katika ziara ya kukangua miradi ya mbalimbali wilaya ya Temeke.Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi barabara
Ukaguzi wa daraja
(Picha ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More