MKUU WA MAJESHI AHAMASISHA VIJANA KUJIUNGA JKT KUPATA STADI ZA KAZI ZIWASAIDIE KUJIAJIRI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKUU WA MAJESHI AHAMASISHA VIJANA KUJIUNGA JKT KUPATA STADI ZA KAZI ZIWASAIDIE KUJIAJIRI

Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Venance Mabeyo akizungumza na Viongozi wa Mkoa wa Simiyu wakati alipomtembelea Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Anthony Mtaka Ofisini kwake Juni 07, Mjini Bariadi.Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akitoa taarifa fupi ya mkoa kwa Mkuu wa Majeshi hapa nchini Jenerali Venance Mabeyo(kulia) wakati alipomtembelea ofisini kwakeJuni 07, 2018 Mjini Bariadi na kuzungumza na Kamati ya Ulinzi naUsalama ya Mkoa.Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Simiyu na baadhi ya maafisa wa Jeshi walioongozana na Mkuu wa Majeshi hapa Nchini wakati alipomtembelea Mkuu wa mkoa wa Simiyu, wakimsikiliza Mkuu huyo majeshi Bariadi alipozungumza na viongozi wa mkoa wa Simiyu.Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akimtambulisha Mkuu wa Majeshi hapa nchini Jenerali Venance Mabeyo viongozi mbalimbali wa mkoa huo waliofika kumpokea mara baada ya kuwasili mjini Bariadi Juni 07, 2018.Mkuu wa Majeshi hapa nchini Jenerali Venance Mabeyo akisalimiana na Mkuu wa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More