MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKUU WA MAJESHI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo  akizungumza mara baada ya kutembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa ya standard gaurge kutoka kituo cha Ilala hadi kituo cha Soga.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akimsikiliza maelezo kutoka kwa Wafanyakazi wa kampuni iliyojenga reli ya mwendokasi ya Yapi Markez jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa reli hiyo.Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo  pamoja na baadhi ya wanajeshi wakiangalia jinsi mataaluma yanavyotengenezwa katika kituo cha Soga.Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo  akizungumza na waandishi wa habari  katika kituo cha soga mara baada ya kutembelea na kukagua jinsi mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa standard george.Baadhi ya mataaluma kushoto yakiwa tayari kwa kutandikwa reli ya kisasa ya standard gaurge.Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania(TRC) Masanja Kadogosa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More