Mkuu wa Mkoa atimua uongozi Ndanda FC - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mkuu wa Mkoa atimua uongozi Ndanda FC

MKUU wa mkoa wa Mtwara, Gilasius Byakanwa ameamua kuuweka pembeni uongozi wa klabu ya Ndanda FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kushindwa kuiongoza timu hiyo katika msimu huu 2018/19. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Kiongozi huyo ameamua kuchukua maamuzi hayo kufuatia timu hiyo kushindwa kulipa gharama za hoteli mkoani Singida walipokwenda kwa ajili ...


Source: MwanahalisiRead More