MKUU WA MKOA MTWARA AWAONDOA VIONGOZI NDANDA FC, AUNDA KAMATI YA WATU 10 KUSIMAMIA TIMU - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKUU WA MKOA MTWARA AWAONDOA VIONGOZI NDANDA FC, AUNDA KAMATI YA WATU 10 KUSIMAMIA TIMU

Na Mwandishi Wetu, MTWARA
MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Gilasius Byakanwa amefanya mabadiliko katika uongozi wa klabu ya Ndanda FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mjini Mtwara, Byakanwa amesema kwamba amechukua hatua hiyo akiwa kama mlezi wa timu kwa kuuweka pembeni uongozi wa uliokuwepo madarakani  kutokana na kushindwa kuiendesha timu hadi imegeuoka ombaomba wa kudumu. 
Mkuu huyo wa Mkoa ameunda Kamati maalum ya watu 10 itakayosimamia timu hiyo kwa kipindi cha msimu wa ligi kilichosalia ambayo itaongozwa na Laurent Paul Werema, atakayeshirikiana na Stanley Milanzi, Athumani Kambi, Raymond Kasuga, Joseph Peneza, Baldwin Massawe, Mohammed ‘Mamu’ Remtullah, Mohammed Nassor, Kotensi Luiza, Khalid Said Mkwila na Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’.

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gilasius Byakanwa amefanya mabadiliko katika uongozi wa klabu ya Ndanda FC 

“Tutakubaliana na wapenzi wa michezo na wadau wa michezo kwamba, kuendesha timu kunahitaji gharama z... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More