MKUU WA MKOA WA KAGERA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MKUU WA MKOA WA KAGERA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti aliyemtembelea na kuzungumza naye maswala yakiwemo ya kibiashara kwa mkoa wa Kagera, kilichofanyika jana jijini Dar es salaam.Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es salaam kwa mazungumzo.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More