Mkuu wa Soko Kuu Arusha Mbaroni kwa Ubadhirifu - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mkuu wa Soko Kuu Arusha Mbaroni kwa Ubadhirifu


Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr. Maulid Suleiman Madeni (wa kwanza kushoto) akishuhudia ukaguzi wa daftari analotumia Mkuu wa soko kurekodi taarifa za wafanyabiashara jiji la Arusha, wakati wa muendelezo wa operesheni ya ukusanyaji wa mapato. Mfanyabiashara wa Soko Kuu Bw. Daniel Mushi (kushoto) na Mkuu wa Soko kuu la Jiji la Arusha Bw. John Ruzga wakati walipowekwa chini ya ulinzi katika operesheni hiyo ya ukusanyaji wa mapato.

 Na Fatuma S. Ibrahimu – Arusha Jiji  Mkurugenzi wa jiji la Arusha Dkt. Maulid Madeni ameamuru Mkuu wa soko kuu la Halmashauri ya Jiji la Arusha Bw. John Ruzga kuwekwa chini ya ulinzi baada ya kutuhumiwa  kupokea fedha za wafanyabiashara kwa kigezo cha kwenda kuwalipia ushuru na kutozifikisha Halmashauri kitendo ambacho ni kinyume cha utaratibu wa Serikali kwa mtumishi wa umma. 
 Naye Afisa Utumishi na Utawala wa Halmashauri ya Jiji la Arusha Bw. Baltazar Ngowi amwataka wafanyabiashara katika soko hilo kudai risiti pindi wanapolipa ushur... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More