Mkuu wa Wilaya aagiza waliotapeli mamilioni wawekwe ndani - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mkuu wa Wilaya aagiza waliotapeli mamilioni wawekwe ndani

MKUU wa Wilaya ya Uyui mkoani Tabora, Gift Msuya ameagiza Jeshi la Polisi kuwakamata watu watatu wanaodaiwa kutapeli wananchi sita kiasi cha Sh. 6.5 milioni. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Watuhumiwa hao waliotambuliwa kwa majina ya Kulwa, Mayuga na Mang’ombe wanadaiwa kufanya utapeli huo tarehe 2 Novemba 2018. Akizungumza baada ya kukutana na wakazi wa ...


Source: MwanahalisiRead More